DJ Mafuvu, EA Radio Power Jams Akiscratch MAYA ya One Six kwa TurnTable/Machine

Ngoma ya MAYA ya mkali wa bongofleva na sweet reggae kutoka Dodoma, One Six, imekuwa gumzo katika redio nyingi za Tanzania ikiwemo East Africa Radio.
Ngoma hiyo ilitengenezwa na Dash Touches pale BIORN Production, maili 2 Dodoma na baadae kufanyiwa video na muongozaji matata kutoka Dodoma, Erick Backamaza.
DJ Mafuvu amekuwa akisikia fahari sana kusikiliza ngoma ya One Six na kuifanyia mautundu wakati wa vipindi vyake redioni kama vile Power Jams.
Hizi hapa fujo na vurugu za Fuzu Beiby akiichezea ngoma ya MAYA.
Enjoy


0 comments: