New Audio: Young D ft. Jux - Sio Mchoyo

Huwa ipo sana katika jamii kuona msichana mzuri akiwa na mahusiano ya mtu zaidi ya mmoja bila kujua tatizo. Wapo wafanyao hivyo wajipatie pesa pia wapo wafanyao kwa hulka tu.
"Sio Mchoyo" ya Young Dee na Jux ni moja kati ya ngoma inayoelezea tabia za msichana aiyekuwa mchoyo kwa kila mwanaume "Cha Wote". Mzigo umefanyika Kili Records,
Hii hapa


0 comments: