Gossip: Interview ya Mh Komba Kuhusu Picha Zilizowahi Kuzagaa
Komba ni mbunge kutoka jimbo la Mbinga la mkoani Ruvuma pia kiongozi wa bendi ya muziki (dansi na taarab), na alikanusha vikali kuhusu picha hizo.
ONYO: Jihadhari na picha mnazotumiana, yasije yakatokea majanga zaidi ya ndugu mheshimiwa.
Bongo Focus inampa pole kwa hadha aliyoipata.
0 comments: