Audio: Mchaji Halisi ft. Orinta - Umenitouch
Kama unafeel ni jinsi gani mwenzi wako anakugusa katika hali zote, huna budi kufunguka tuuuuu, na ndicho kilichofanyika katika wimbo "Umenitouch" wa Mchaji Halisi akiwa na mwanadada Orinta.
Mchaji ni mwanamziki pia mtayarishaji wa music (producer) na amefanya kazi nyingi nzuri, na UMENITOUCH ni moja kati ya kazi hizo.
Respect
0 comments: