Video: Prince George - Utaikubali
Prince George ameamua kusitisha kufanya kazi zake za mziki kwa sasa na kuamua kumpa ushirikiano mkali wa bongofleva, One Six, katika kusimamia kazi zake.
Audio ya ngoma hiyo ilifanyika pale Uprise Music kwa Dupy.
Ni sweet music....
Hii hapa
0 comments: