Video: Jax ft. Double - Liko Hivyo
Kama umeshawahi kuangalia kazi za video, utaamini kuwa kampuni ya video na filamu, Rafimage, inafanya vizuri sana. Hii ni baada ya kuachia moja kati ya kazi zake ya msanii wa kizazi kipya, Jax, ya wimbo "Liko Hivyo" aliyofanya na Double, vivyo hivyo Double ndo amehusika katika utayarishaji wa mziki studio za G Sound Records.
Kwa pamoja wakitokea Dodoma, LIKO HIVYO ikabamba.
Big Up kwa Rafimage kwa kazi nzuri na kwa kijana Linus Giggs kwa kuhakikisha video ikaandaliwa vizuri, pia kwa Fetilicious "video quuen" kwa kung'arisha humo ndani.
Dom City Stand Up
0 comments: