Audio: One Six - Beautiful
Mkali wa RnB, zouk na sweet reggae anayetamba kwa audio an video yake ya "MAYA" aliwahi kuachia ngoma kali sana kipindi cha nyuma iendayo kwa jina la "Beautiful"
Katika pitapita ktk maktaba yetu, Bongo focus ikaamua kuwawekea wadau wote waisikie
0 comments: