Audio: One Six ft. Frank Music - Wajua
Bado mkali wa RnB, Zouk na Sweet Reggae, One Six (mdogo wake Mez B) amekuwa akiendelea kufanya vizuri katika sanaa ya mziki.
Wajua ni moja kati ya ngoma kali pia alizowahi kufanya pale Dreams Records, na kunogeshwa na mtayarishaji Sailas....hii imefanyika Dodoma.
Huyu hapa.
Frank Music
0 comments: