Audio: One Six - Miss Tanzania

Licha ya kuchukua taji la miss Tanzania 2013 akitokea kanda ya kati mwanadada Happiness Watimanywa alitunukiwa pia ngoma kali na One Six iliyokwenda kwa jina la "Miss Tanzania"













One Six ni msanii (vocalist) mkali kutoka Dodoma na anafanya vizuri sana, na sasa anatamba na ngoma yake "MAYA' iliyo katika mfumo wa Sweet Reggae


0 comments: