Final za DJs Competition kwa Matei Lounge, Dodoma, Ijumaa 26.9.2014
Nani mkali kati ya Dj Tony, Dj Steve O na Dj 711?
Ni mashindano ya u-DJ ndani ya Dodoma na sasa hivi ni fainali, ndani ya Area D pale Matei Lounge & Car Wash.
Big Up kwa Makangale Entertainment.
Hii, hakika si ya kukosa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa............
Bongo Focus Team itakuwepo
0 comments: