New Video: Arabellah ft. Abdu Marrash - I Love U (Directed by Raph Tanzania)
Video ya wimbo "I Love U" ya msanii Arabellah aliyofanya na Abdu Marrash pale Kali Nation studio, tayari imeshatoka.
Video hiyo imefanywa chini ya kampuni ya "After DayLight Films" chini ya muongozaji (video directeor) Raph Tz ama Raph Tanzania mwenye makazi yake Dodoma na Dar.
Akiongea na Bongo Focus, Raph Tanzania anasema tayari video hiyo imeshaanza kusambaa katika mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter na Whatsapp, pamoja na blog na website tofauti za watu.
Video director Raph Tanzania.
Video Link
Au angalia hapa moja kwa moja
0 comments: