Uzinduzi wa Ngoma Mpya ya Ainea ndani ya Revola Open Bar, 28.9.2014 JPili, Dodoma
Mkali wa Bongofleva aliyewahi kutamba na ngoma ya "Sina Mpango Nae" aliyofanya na Blue Bysar au Mr Blue, mtu mzima Ainea, anatarajiwa kuzindua ngoma yake mpya siku ya Jumapili, tarehe 28.9.2014 pale New Revola Bar, Dodoma.
Uzinduzi huo utaambatana na show kali toka kwake akisindikizwa na jamaa wa kuitwa "Big Born 90 nae akitokea Dodoma.
Don't Miss It - Ni Buku 2 tu za KiTanzania
0 comments: