Audio: Prince George - Utaikubali

Kabla ya kuanza na harakati ya kumsimamia msanii na mkali wa sweet reggae One Six anayetamba na ngoma ya MAYA, Prince George alishawahi kufanya kazi kama mwanamuziki.
"Utaikubali" ambayo ilifanywa na Dupy pale Uprise Music ni moja kati ya ngoma nzuri sana ktk miondoko ya vanga/mduara/kitamaduni.


0 comments: