Audio: One Six - My Valentine
Wimbo "My Valentine" wa One Six ni moja kati ya nyimbo zinazoonyesha kuishi mda mrefu na itakuwaga gumzo sana kila itapofika siku ya wapendanao, tarehe 14.2 ya kila mwaka.
Wimbo umefanyika pale Dreams Records, kwa Sailas.
0 comments: