Audio: Sharon - Mbona Umegeuka

Uonapo mwenzi wako anaenda tofauti ni heri ukamuuliza, itasaidia kumuelekeza njia njema.
"Mbona Umegeuka" ya Sharon ama Pretty Gal Foreal iliyofanywa pale Galaxy Records na Bon Bhanx ni moja ya ngoma kali inayohusu mahusiano, mwanaume akiulizwa tatizo la yeye kugeuka tofauti na zamani.
Daaaaaaaah hatareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....FACT


0 comments: