Audio: SlimSal - Mistaripedia

Ukijaribu kusikiliza flow za Mistaripedia basi utaamini kuwa Slimsal ni mkali. Jamaa anatokea Dodoma ila kwa sasa anaishi Dar es Salaam.
Imefanywa pale MJ Records na Maco Chali.


0 comments: