Audio: Teidy Wizzy ft. One Six - Dom Town Queen

Ukizungumzia wadada wanaofanya vizuri katika michano (rap), basi huwezi kumuacha Teidy Wizzy hasa baada ya kuonyesha umahili katika ngoma yake "Dom Town Queen" aliyefanya na mkali wa RnB, Zouk na Sweet Reggae, One Six.
Akitokea Dodoma, kwa pamoja walikinukisha na One Six pale AJ Records na mzigo ukasimamiwa na Maco Chali wa Dodoma, Lil Bello bin Laden.
Teidy Wizzy
























One Six



















Producer Lil Bello
























Ngoma hiyo ambayo video yake inafanywa na kampuni ya After DayLight Films chini ya muongozaji Erick Backamaza


0 comments: