Mfahamu Muongoza Video (Video Director) Erick Backamaza

Anakuja kwa kasi sana kwa kubeba imani ya watu hasa kwa umahili wa kazi alizowahi kufanya na anazoendelea kufanya za wasanii wa mkoani Dodoma maeneo ya Airport ambako Backamaza ndo anaishi.
Backamaza alizaliwa March 28 na yeye akiwa ni mwenyeji wa Bukoba, Kagera, ijapokuwa kwa sasa Dodoma ndo imekuwa makazi yake.
Baada ya kumaliza masomo yake ya chuo pale Chuo Kikuu Dodoma 2014 katika masuala ya maendeleo "DEVELOPMENT STUDIES", Erick Backamaza ameamua kujikita zaidi katika utengenezaji wa video na filamu akiamini kumletea manufaa baada ya muda ingawa changamoto ni nyingi sana.
Kazi alizowahi kufanya Erick Backamaza....
- Shakalaka - Central Zone - Bofya Hapa
- Muya - Naahidi - Bofya Hapa
- Mapenzi Basi Young 60 ft. One Six - Bofya Hapa
- Hapakaliki - Rotten Blood - Bofya Hapa
- Maya - One Six - Bofya Hapa
- Niite Sacho Buay - Sacho Buay - Bofya Hapa
- Darasa - Raph Tz ft. Steve RnB - Bofya Hapa
- Tumerudi & On Air - KG Squad/M2 Benga
- Single Button - Daka Lovee, na nyingine nyingi za kina Jaco Beatz na wengineeee...
Baadhi ya picha zikumuonyesha Erick Backamaza akiwa maeneo ya matukio katika utengenezaji video.
Facebook - Dir Erick Backamaza II
Simu - 0759699789
Instagram - backamaza
0 comments: