Audio: Wynem & Linex - Maumivu

"Maumivu" ndo ngoma ya kwanza iliyoweza kuwaweka Linex na Wynem katika ramani ya mziki nchini Tanzania. Mzigo ulifanyika pale kwa Villy.
Ni ngoma ya zamani lakini ukikaa na kuisikiliza hadi leo, utaelewa ni jinsi gani ngoma hiyo inavyozidi kuishi kila nyakati mana suala la mapenzi limekuwepo na litazidi kuwepo na kutesa watu.
Hii hapa


0 comments: