New Video: Rich Mavoko - Pacha Wangu

Mkali wa bongofleva Rich Mavoko aachia video ya wimbo wake mpya "Pacha Wangu". Video imefanywa na Adam Juma.
Audio wa wimbo huo ilifanyika pale Mazoo Records, Mabibo Dar es Salaam.


0 comments: