Maandalizi ya Video ya Ghetto Anthem ya Shentee the Don na Junior Ambary Mafia
Shentee the Don na Junior Ambary Mafia huwa wanajipanga sana ktk harakati za kunyanyua mziki wao.
Video hiyo inafanywa na Erick Backamaza chini ya kampuni iitwayo After DayLight Films iliyopo Dom town.
Sacho Buay pia alikuwemo kucover nafasi yake murua kabisa
Bongo Focus ilijaribu kutembelea sehemu ambayo video hiyo ilikuwa inaandaliwa, pembeni ya Maisha Club, Dodoma na kuangalia jinsi gani video ya wimbo huo ikifanywa.
Kwa undani zaidi ikiongea na muongozaji msaidizi Raph Tz au Raph Tanzania, nae alisema kwamba video hiyo imebaki sehem moja tu kufanyiwa ktk kitaa cheupe ama " White Screen" na baadhi ya maeneo machache.
Big Up kwa wote walioshiriki.
0 comments: