New Audio: Abdu Marrash - Mapenzi Bazoka
Hili ni dude jipya kutoka Kali Nation studio inayomilikiwa na Jaysson Key, limesimamiwa na mtayarishaji Masinga Mikono "The Soldier". Ni mapenzi bazoka na Abdu Marrash amefanya yake kunogesha mdundo wa mtu mzima Mikono.
Pakua na wewe ufanye kuburudika na wenzako.
Masinga Mikono na Abdu Marrash
Abdu Marrash Nandoh
Mtayarishaji wa ngoma ya "Mapenzi Bazoka", Mikono de Singa
0 comments: