Entertainment, News and Gossip - In and Out of Tanzania
CONTACT: Email | focusbongo@gmail.com
Video: Miracle ft. Rose - Nikuite Nani
Hii ni moja kati ya video kali zilizofanywa na kampuni ya video iitwayo Kyonaboy Media Production. Ngoma inaitwa "Nikuite Nani", Miracle akiwa na Rose wamefanya kitu poa sana katika audio ambayo ilifanywa na mtayarishaji Lil Bello bin Laden pale AJ Records.
0 comments: