New Video: One Six - Maya

Video mpya ya wimbo "MAYA" ya msanii kutoka Dodoma, One Six (mdogo wake Mez B) hii hapa. Imefanywa na Erick Backamaza chini ya kampuni iitwayo "After DayLight Films"
Bofya kuangalia.


0 comments: