Video: Raph Tz ft. Steve RnB

Tazama video ya wimbo "Darasa" ya Raph Tz ama Raph Tanzania iliyofanywa na muongozaji/mtayarishaji wa video kutoka Dodoma, Erick Backamaza.
Chorus imefanywa na Steve RnB japo kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo, hakuweza kuwepo katika video.

https://www.youtube.com/watch?v=6_j350TPAQs

0 comments: