AISHA ni moja kati ya ngoma poa iliyowahi kufanywa na mtangazaji wa Clouds Fm Radio wa kipindi cha XXL na Bongofleva, Adam Mchomvu a.k.a Baba Jonii akiwashirikisha Mandojo na Domokaya.
Kama unakumbuka Aisha ilikuwa moja kati ya chalanga zilizowahi kutamba sana katika muziki.
0 comments: