Audio: One Six - Kipaji (Forever Young)

Kama hujawahi kusikia baadhi ya nyimbo za mkali wa sauti kutoka Dodoma, One Six, basi hii ni moja kati ya ngoma zake ambayo haijawahi kusambaa maredioni. 
Inaitwa Kipaji ama Forever Young na imefanyika pale B1 Records kwa mtayarishaji Kid Man.


0 comments: