New Audio: Sometymz Memo - Forever
Ngoma imefanyika pale G Sound Records pale kwa Double.
Sometymz pia amewahi kumfanyia kiitikio kikali mwana-hiphop kutoka NO7, Slogan Lecture katika ngoma yake iliyoitwa Dodoma, na mzigo ulifanyika pale pale G Sound Records
Hii hapa Forever ya Sometymz
0 comments: