New Audio: Raph Tz ft. Tundaman & Darasa - Jipange

Baada ya kufanya poa na wimbo wake ambao hata haujaisha hamu midomoni na masikioni mwa watu "NERIA Hiphop Version", Raph Tanzania aachia ngoma mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, na Bongo Focus ndo imekuwa media ya kwanza kuipata.

Akiwa na wababe wakali wawili ktk muziki, Darasa "Mr Sikati Tamaa" na Tunda "Tunda wa Msambinungwa",....."JIPANGE" ndo imewaunganisha pamoja, huku Tundaman akinogesha kiitikio (Chorus) na Darasa akiwa wa tatu kumalizia ktk ngoma.





















Imefanyika studio mbili tofauti kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na watayarishaji wawili toka studio hizo. Kali Nation Studio ya Dsm na G Sound Records ya Dar.

Producer Jaysson Keyz - Kali Nation Studio (Kijitonyama, Dar es Salaam)



















Producer Jaysson pia aliwahi kufanya ngoma kadhaa za Raph kama vile;

1. Darasa - Raph Tz ft. Steve RnB
2. Watasubiri - Raph Tz ft. Beka Title, Laz Kingstone & Ali CMB
3. Kauli Safi, Nimerudi na nyingine nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii


Producer Double - G Sound Records (Kisasa, Dodoma)


























Double pia amewahi kufanya kazi nyingine za Raph tofauti na hii aliyoshiriki sasa ya JIPANGE, nazo ni...

1. Neria Hiphop Version - Raph Tz ft. Double (Double ameshirikishwa pia)
2. Pesa - Raph Tz ft. Seby Conscious & Miracle


Na anategemewa kumfanyia Raph Tz ngoma nyingine pia kama vile "Ibuka", "Nionyeshe Njia" n.k.


Raph Tz akiwa na Tunda "Mzee wa Msambinungwa" na Darasa "Mr Sikati Tamaa"





Big Up to Raph Tz na wote wanaompa support

0 comments: