New Audio: Benah - Mbali Nami (Prod. AbyDaddy @ D360 Records)
Wimbo huo katika "Audio na Video" ukiendelea kufanya vizuri katika redio na televisheni za Clouds, n.k, Benah anategemewa kuwa chipukizi bora anayeandaliwa kuwa star.
..
Video ya wimbo huo umefanywa na "PABLO" chini ya kampuni ya D360 Videos, na tayari ipo katika list ya nyimbo zenye chat.
Hii hapa ngoma yenyewe....
0 comments: