Entertainment, News and Gossip - In and Out of Tanzania
CONTACT: Email | focusbongo@gmail.com
Happy Birthday One Six
Timu nzima ya Bongo Focus blog inamtakia mkali wa masauti, RnB, Sweet Reggae na bongofleva, One Six, heri na baraka ya siku yake ya kuzaliwa, leo tarehe 28.9.2014. Pia inamtakia mafanikio mema aendelee kuiwakilisha vizuri Dodoma na Tanzania kwa ujumla katika mziki wake. Together We Say HAPPY BIRTHDAY ONE SIX. God Bless You
0 comments: