New Video: BOB & Micharazo - True Story

Wakali wa Swagg na Flow kutoka Kinondoni, BOB & Micharazo waachia video yao mpya iliyofanywa na Pablo chini ya kampuni ya D360 Videos. 
Ngoma inaitwa "True Story" ilifanyika kwa Mona Gangsta .
Hawa hapa BOB


0 comments: