Audio: Wynem - Mwanambuzi
Hii hapa moja kati ya ngoma za mkali wa sauti (vocal), Wynem, inaitwa Mwanambuzi.
Wynem anaelezea hisia zake katika mapenzi na kukubali kuwa Mwanambuzi kwa mpenzi wake.
Ngoma imefanywa na Gz pale Gz Records.
Wynem ni moja kati ya wasanii wakali sana nchini Tanzania na ameshawahi kufanya kazi nyingi na Linex, Bandago n.k.
0 comments: