Audio: Nickray ft. Ainea & Shebby Love - Hayajaribiwi

Wanasemaga mtoto wa nyoka ni nyoka....hii imejidhihirisha kwa Nickray ambae anakuja vizuri katika ramani ya muziki wa kizazi kipya. Nickray ni mdogo wake Ainea.
Kumbuka Ainea ni msanii mkali sana na aliwahi kutamba na ngoma "Sina Mpango Nae" aliyomshirikisha Byser Babylon a.k.a Blue Byser wa BOB.
Nickray ameonekana kuja vizuri kwa kufuata nyayo za kaka yake kiasi kwamba hadi kufanana na Ainea kwa staili na sauti ya mziki anayofanya.
















Mzigo umefanyika pale Eck Production, Makulu Dodoma na Eck ndo mtayarishaji wa ngoma hiyo.
It's all about dropping the coin.


0 comments: