Audio: Zachaa ft. Diamond Platnumz & Godzilla - Mtoto wa Mama
Mdogo wa mtayarishaji wa midundo Maco Chali anayekwenda kwa jina la Za-Chaa aachia ngoma kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii akiwa na Diamond na Godzilla.
Ngoma imefanyika MJ Records chini ya Maco Chali na Zachaa mwenyewe.
Zachaa pia amehusika katika utengenezaji wa wimbo "Kesho" wa Diamond Platnumz.
Huyu hapa.
0 comments: