Utambulisho wa "JIPANGE" ya Raph Tz ktk Full Nyemo Exclusive, 97.7 Dom na Winston Makangale

Sikiliza utambulisho wa ngoma mpya ya Raph Tz aliyofanya na Tundaman na Darasa ndani ya Nyemo Fm 97.7 Dodoma katika kipindi cha saa 8 mchana cha Full Nyemo Exclusive kinachoendeshwa na Winston Makangale a.k.a Baba Boy.
Raph Tz ameendelea kufanya vizuri kila siku kwa kufanya ngoma nyingi nzuri na wasanii tofauti wazuri kama vile Steve RnB, Mabeste, Suma Mnazalet na wengineo.
Sikia utambulisho huo hapa.




0 comments: