Ngoma Mpya ya Raph Tz "JIPANGE" ndani ya ABM Radio 91.2, Dom Hitz ya Dj Rodger na Dj Jeff
Hiki hapa ni kipande cha utambulisho wa ngoma mpya ya msanii wa kufokafoka, Raph Tz, akiwa na Tunda na Darasa.
Ngoma ilitambulishwa na Dj Rodger wa ABM Fm 91.2 Dodoma katika kipindi cha Dom Hits cha Ijumaa.
JIPANGE ilifanywa ndani ya studio 2, Kali Nation kwa mtu mzima Jaysson, na G Sound Records kwa Mnyama Double.
Raph ambae ameendelea kufanya vizuri siku hadi siku, na ni siku chache tu tangu aachie ngoma yake iliyotamba, Neria Hiphop Version.
0 comments: