Jaco Beatz na Sababu ya Uchaguzi wa Jina la "NDO YEYE" - Bongo Page ya Dj Rodger, ABM Radio 91.2 Dom

Inavyosemekana jina la wimbo mpya wa msanii wa kizazi kipya anayetokea Dodoma, Jaco Beatz, limebadilishwa baada ya wimbo huo kutoka.
Akielezea wakati akiwa katika interview ya redio ya ABM Radio 91.2 Dodoma katika kipindi cha Bongo Page kinachoongozwa na Dj Rodger, Jaco alisema kwamba mwanzoni kabla wimbo wa Ndo Yeye haujatoka ulipewa jina la "NGEBE" lakini baada ya kutoka, mtayarishaji Ely da Bway wa Hometown Records na jamaa wa karibu wa mtayarishaji huyo wakaamua kuuita wimbo huo "NDO YEYE"
Sikiliza mwenyewe


0 comments: