Jaco Beatz Asema "I SAY" Ndo Ngoma Anayoikubali
Imekuwa ngumu sana kwa wasanii kujibu swali sawia kutaja ngoma yake anayoipenda kuliko ngoma zake zote, wengi wamekuwa wakisema wanapenda zote.
Jaco Beatz ameamua kufunguka na kutaja kuwa "I SAY" ndo ngoma anayoipenda sana, licha ya kwamba kuna ngoma zake kali nyingine kama vile Kilaza, Walionuna, na Ndo Yeye ambayo ni gumzo kwenye vituo vya redio.
Huyu hapa Jaco Beatz akiwa ABM Radio 91.2 kipindi cha Bongo Page cha Jumamosi kinachoendeshwa na Dj Rodger, akiisifia "I Say"
0 comments: