Sina Mpango Nae Ndo Wimbo Uliomuweka Ainea ktk Ramani Nzuri ya Muziki
Ukizungumzia Sina Mpango Nae ya Ainea aliyoifanya na Mr Blue, nadhani utakubali kuwa ndo nyimbo kali sana iliyomfanya Ainea aeleweke katika ramani ya muziki. Hii imefanya hata sababu ya Ainea kutumia jina hilo "Ainea wa Sina Mpango Nae" katika akaunti yake ya facebook.
Licha ya kufanya nyimbo nyingine kali lakini Sina Mpango Nae ndo ilimfanya msanii huyo kupata kick kubwa hasa baada ya kufanya collabo na msanii mkali wa kizazi kipya Herry Sameer a.k.a Blue Babylon Bayser wa Micharazo/BOB.
Hakika, huwezi kuchoka kusikiliza audio au kuangalia video ya wimbo huo.
Video ya wimbo huo iliongozwa na PETE.
0 comments: