Ruge Asema Mchungaji Zayumba ndo Msanii Anayemfahamu Dodoma
Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, katika harakati za Fiesta Dodoma, ahojiwa leo jumapili na kufunguka kuwa msanii wa kizazi kipya Mchungaji Zayumba ndie anayemfaham kwa Dodoma.
Fiesta ambayo inategemea kufanyika leo jumapili 5.10.2014 mjini Dodoma ikiwa ni mzunguko wa miongoni mwa mikoa 18 ya shangwe hizo.
"Ni Sheeeeedah" ndo kauli mbiu ya mwaka huu.
Licha ya Central Zone kutajwa katika tangazo la show ya Fiesta Dodoma, Ruge amtaja Zayumba.
Licha ya Central Zone kutajwa katika tangazo la show ya Fiesta Dodoma, Ruge amtaja Zayumba.
Big Up kwa Mchungaji Zayumba
0 comments: