Jaco Beatz akiri Mpenziwe (Cleopatra Paulsen) ndo Anasababisha Kuandika Nyimbo Nzuri
Msanii toka Dodoma mwenye sauti flan ya pekee katika tasnia ya muziki, Jaco Beatz, afunguka kuwa mama la mama wake, Cleopatra Paulsen, ndo anampa sababu na fursa ya kuandika ngoma nzuri za mapenzi. Hii ni baada ya kutupiwa swali la kizushi na Dj Rodger wa ABM Radio 91.2 katika kipindi cha Bongo Page cha Jumamosi.
Jaco asema "NDO YEYE" ni ngoma tosha kwa Cleo na wanawake wote wazuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Mahaba Nigaragaze.
Huyu hapa msikie
0 comments: