BASATA Kumvua Taji Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu
Sakata la Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kudaiwa kudanganya umri, limeingia katika sura mpya baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) kueleza kuwa linasubiri uchunguzi ukamilike na litamvua taji hilo endapo itabainika kweli alichakachua umri wake.
Chanzo cha Habari
Facebook: Page ya East Africa Television
0 comments: