Gossip: Wema Aelezea Ukweli Kuhusu Urafiki Wake na Kajala
Hatimae binti Sepetu afunguka kuhusu mambo yake na Kajala, na uvumi wa kuwepo bifu baina ya wakali hao wawili wa Bongo Movie.
Wife to Be huyo wa Chibu Dangote aogopa kufa ndo mana akaona yaishe.
Angalia hapa Wema alivyofunguka.
0 comments: