Happy Birthday Mr President Jakaya Kikwete
Je, wajua kuwa leo ndo siku ya kuzaliwa kwa raisi wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dokta Jakaya Mrisho Kikwete?
Ni miaka 64 imepita, kwa siku kama ya leo ya tarehe 7 Oktoba tangu kuzaliwa kwake na watu mbalimbali, wakiwemo wasanii wa muziki na filamu wametuma salamu zao za heri kumtakia mheshimiwa raisi katika siku yake hii ya kuzaliwa.
Wasanii hao ni pamoja na Ray C, Mwanafalsafa, Ommy Dimpoz, Shilole, Professor Jay, Menina la Diva na wengine wengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Kama ujuavyo, mheshimiwa Kikwete amefanya mengi mazuri katika utawala haina budi kumpongeza kwa kadri Mungu anavyompa maisha marefu.
Nasi kama timu ya Bongo Focus Blog tunamtakia heri na fanaka katika sikukuu yake ya kuzaliwa.
0 comments: