Je, Wajua Erick Backamaza ni Mtaalamu wa Mambo ya Maendeleo?!
Licha ya kuwa vizuri katika uongozaji wa video na filamu, Erick Backamaza pia ni mtaalamu wa mambo ya maendeleo aliyosomea katika Chuo Kikuu cha Dodoma. Hii ameithibitisha mwenyewe wakati akihojiwa katika kipindi cha Kali za Dom cha 97.7 Nyemo Fm kinachoendeshwa na Joseph Kendrik a.k.a Mtoto wa Mama Jeny.
Backamaza alipata shavu hilo la mahojiano baada ya kufanya vizuri kwa kutengeneza video kali ya msanii One Six inayokwenda kwa jina la MAYA ambayo inazidi kupenya na kupendwa na watazamaji wengi wa televisheni.
Huyu hapa
0 comments: