New Video: DDC - Mazishi (Directed by Raph Tanzania)
Hatimaye video ya wanaharakati wa mziki wa kufokafoka kutoka Dodoma, Dom Down Click (DDC) yatoka rasmi leo.
Video ya ngoma hiyo "MAZISHI" imefanywa na Raph Tz ama Raph Tanzania chini ya kampuni ya After DayLight Films.
Humo ndani yupo Adam Shule Kongwe, Saliloo a.k.a Sali Flow, Andre K, Slogan Lecture/Bello, Gilson na Javan, na audio ya ngoma hiyo ilifanywa na Lil Bello pale AJ Records, Area C, Dodoma.
0 comments: