Video ya Mazishi ya DDC ndani ya Esto Music.Com/Celebrity Swagg

Video ya wimbo "MAZISHI" ya wakali kutoka Dodoma, Dom Down Click (DDC) inazidi kupenya katika mitandao mbali mbali.
Video hiyo ilifanywa na Raph Tz ama Raph Tanzania.


0 comments: