News: Rais wa Zanzibar Atangaza Kumfuta Kazi Mwanasheria Wake

Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein ametangaza rasmi kumfuta kazi na kumuondoa katika nafasi yake Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman.
Katika taarifa iliyotolewa jioni ya tarehe 07/10/2014, bila kuweka bayana sababu za mabadiliko hayo, Dkt Shein amemteua aliyekuwa msaidizi wake Hassan Said Mzee kushika nafasi hiyo.

Chanzo: EATV Page, Facebook

0 comments: