NIMERUDI Ndo Ngoma ya Kwanza ya Raph Tz

Hii hapa ngoma ya kwanza kufanya Raph Tz. Inaitwa "NIMERUDI" amefanya na jamaa wawili, Man Snepa na Sam Wise pale Kali Nation Studio kwa Jaysson Keys, pande za Kijitonyama, Dar es Salaam

0 comments: